None
SW
Serikali kuweka mazingira wezeshi elimu
['Na Sijawa Omary']
HabariLeo
MTWARA: SERIKALI imesema itahakikisha inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wananchi ili wayafikie maendeleo ikiwemo suala zima la elimu. Akizungumza mkoani Mtwara katika Halmashauri ya Mji Newala, Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amesema kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi kwa hao ili waweze wayafikia maendeleo na kuwapatia elimu bora. Hayo yamejiri wakati waziri …