None
SW
COPRA yatwaa tuzo mbili Nanenane 2026
['Mwandishi Wetu']
HabariLeo
DODOMA: Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imepata tuzo mbili katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nanenane 2026, yaliyofanyika kitaifa jijini Dodoma na katika Kanda ya Ziwa. Katika Maonesho ya Kitaifa ya Nanenane 2026 jijini Dodoma, COPRA imeibuka mshindi wa nafasi ya tatu katika kundi la Wakala, Mamlaka na Tume za Serikali …