None
SW
Kapinga ahimiza ulinzi wa mitaji, biashara zisaidiwe kukua
['Na Mwandishi Wetu']
HabariLeo
LINDI: WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amewataka watendaji wa serikali na taasisi za udhibiti kuwa wawezeshaji wa biashara badala ya kufungia biashara, akisema hatua hiyo ni muhimu katika kulinda mitaji na maslahi ya wananchi. Kapinga amesema hayo Agosti 10, 2026, wakati akizindua ghala la kuhifadhia mazao la Halmashauri ya Mji wa Masasi, lililopo …