DODOMA; TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), imetoa ufadhili wa Sh milioni 400 kwa ajili ya Mradi wa kuimarisha uwezo wa wafugaji  kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi  unaotekelezwa na Watafiti wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA),  ikilenga  kutatua changamoto ya upatikanaji wa malisho kwa wafugaji nyakati za kiangazi. Mradi huo unatekelezwa …