None
SW
Bodaboda Chunya sasa waja kivingine
['Na Shukuru Mgoba Mbeya']
HabariLeo
MBEYA; Waendesha bodaboda wilaya ya chunya ,mkoani mbeya wameanza kuchukua hatua za kujenga mfumo wa pamoja wa kiuchumi,kwa kuanzisha Mfuko Maalumu wa Bodadoda kwa ajili ya kusaidiana na kuanzisha miradi ya maendeleo. Mwenyekiti wa Bodaboda Wilaya ya Chunya, Chance Mwaitambo amesema hatua hiyo inalenga kuwajengea uwezo wa kifedha kundi hilo na kupunguza utegemezi wanapokumba na …