DAR ES SALAAM: Wafanyabiashara nchini wametakiwa kuanza kujiandaa mapema kutumia fursa zitakazotokana na Tanzania kuwa mwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, kwa kuwa mashindano hayo yanatarajiwa kuongeza shughuli za kiuchumi katika sekta mbalimbali. Akizungumza Dar es Salaam leo Mkurugenzi wa Masoko wa Photons Energy, Roman Shayo, amesema AFCON siyo tukio la michezo …