None
SW
Walimu wajengewa uwezo teknolojia kufundishia
['Na Fellen Manochi']
HabariLeo
KILIMANJARO; Walimu 215 kutoka wilaya mbalimbali za Mkoa wa Kilimanjaro wamepatiwa mafunzo yanayolenga kuongeza uwezo wao wa kutumia teknolojia na rasilimali za kidijitali katika ufundishaji na ujifunzaji. Akizungumza wakati wa mafunzo hayo katika Ukumbi wa SMMUCo, Ofisa Elimu Mkoa wa Kilimanjaro, Abel Ntupwa, alisema mafunzo hayo ni sehemu ya jitihada za kuwawezesha walimu kuendana na …