KAGERA: Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Ashatu Kijaji, ambaye ni Mlezi wa Mkoa wa Kager, ameiagiza Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kufanya tathmini ya haraka na kubaini mahitaji halisi ya kuunganisha huduma ya maji katika Hospitali ya Wilaya ya Ngara, mkoani Kagera. Agizo hilo amelitoa kufuatia ombi la Mbunge wa …