None
SW
Kamachumu FC bingwa kombe la Mwijage
['Na Diana Deus']
HabariLeo
KAGERA: Timu ya Kamachumu FC imeibuka bingwa wa mashindano ya Paul Mwijage Cup baada ya kuifunga Kanoni FC kwa bao 1-0 katika mchezo wa fainali na kujinyakulia kitita cha Sh milioni 3. Mashindano hayo yaliyoshirikisha timu 20 kutoka Tarafa ya Kamachumu, Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera, yamekuwa kivutio kwa mamia ya wananchi huku yakitoa fursa …