None
SW
Dk Kijaji akagua miradi ya Sh bilioni 110.4 Kagera
['Na Diana Deus']
HabariLeo
KAGERA: Waziri wa Maliasili na Utalii na Mlezi wa Mkoa wa Kagera, Dk Ashatu Kijaji, amehitimisha ziara ya siku tano mkoani humo, ambapo ametembelea na kukagua miradi 17 ya maendeleo yenye thamani ya Sh bilioni 110.4 katika halmashauri zote nane za mkoa huo. Katika ziara hiyo, Kijaji ametembelea, kukagua na kuweka mawe ya msingi katika …