None
EN
BOT yahimiza wakulima kuchangamkia mikopo ya riba nafuu
['Magnus Mahenge']
HabariLeo
DODOMA: BENKI Kuu Tanzania (BOT) imewahimiza wakulima kuchangamkia mikopo ya riba nafuu inayotolewa na mabenki nchini kupitia fedha za Mfuko wa Shilingi trilioni moja ulioanzishwa na Benki hiyo mwaka 2021. Akizungumza katika Maonesho ya 88 katika Viwanja vya Dk John Malecela, Mchumi wa BOT Caritas Chawene alisema, mfuko huo umeleta mafanikio makubwa kwenye sekta ya …