DODOMA: JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limesema litaendelea kuwa shamba darasa la kilimo, mifugo na uvuvi hata baada ya kufungwa kwa Maonesho ya Nanenane 2026, kwa lengo la kuwajengea wananchi uwezo wa kuongeza tija katika uzalishaji. Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajab Mabele alisema hayo alipotembelea banda la jeshi hilo katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea …