BAADA ya zaidi ya miaka 26 ya kujenga urafiki, kusaidiana na kuwekeza pamoja, Victoria Group (VG) sasa imehamishia nguvu zake kwenye mapambano ya kuboresha afya za wanachama wake na jamii kupitia mazoezi ya mwili, ikizindua mbio maalumu za VG Fun Run zitakazofanyika Agosti 8, 2026 katika Victoria Park, Ununio jijini Dar es Salaam. Waandaaji wa …