None
SW
EAC yaongeza kasi ya ajenda ya biashara ya ndani
['Na Grace Mkojera']
HabariLeo
DAR ES SALAAM: Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imetoa wito wa kuharakishwa kwa hatua za kuongeza biashara kati ya nchi wanachama, ikisema kiwango cha sasa hakijaendana na uwezo wa soko kubwa la kikanda Akifungua Mkutano wa Wakuu wa Makampuni (CEOs Trade and Investment Roundtable) ulioandaliwa na Baraza la Biashara la Afrika Mashariki (EABC) Dar es …