None
CS
Jalang’o reveals close ties with Edwin Sifuna: “Met my mum”
['William Osoro']
Tuko.co.ke
"Hakuna siku utawahi niskia mimi Jalas nikiongelelea vibaya Sifuna.
Kwa sababu ni mtu amekuja pale pale kwangu nyumbani.
Hakuna siku utawahi niskia nikimtusi Sifuna," he said.
"Hakuna siku utawahi niskia nikitusi Babu Owino.
Kwa sababu ni rafiki yangu kwa muda mrefu," he said.