“Mimi nafikiria vile kupanga ODM post 2027, na nyinyi mnafikiria vile kupiga kura. Nishaenda mbele yenu. Shida yangu ni vile napanga Kibra sasa. Shida yenu itakuwa vile nitaingia. Hiyo sio shida yangu.