None
SW
VETA yapongezwa teknolojia bunifu
['Na Mwandishi Wetu']
HabariLeo
DODOMA: KATIBU Tawala wa Mkoa wa Singida, Dk Fatuma Mganga, ameipongeza Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa kubuni teknolojia na bidhaa zinazolenga kuongeza tija kwa wakulima na wafugaji nchini. Dk Mganga ametoa pongezi hizo leo Agosti 4, 2026 alipotembelea banda la VETA kwenye Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Kitaifa (Nanenane), katika …