None
SW
COPRA: Ingieni kilimo cha mkataba kwa wadau waliosajiliwa
['Na Mwandishi Wetu']
HabariLeo
dodoma; MAMLAKA ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), imewahimiza wakulima na wafanyabiashara wa mazao nchini kuhakikisha wanaingia katika kilimo cha mkataba kupitia wadau waliosajiliwa na mamlaka hiyo, ili kujiepusha na hasara na migogoro inayotokana na mikataba isiyo rasmi. Rai hiyo imetolewa na Ofisa Kilimo na Mratibu wa Kilimo cha Mkataba kutoka COPRA, Rehema …