None
SW
Mkutano wa Afrika50 kuanza kesho Dar
['Rahimu Fadhili']
HabariLeo
DAR ES SALAAM: Serikali imesema imekamilisha maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Afrika50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika, utakaofanyika Agosti 5 hadi 6, 2026 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam. – Mkutano huo unatarajiwa kuhudhuriwa na washiriki zaidi ya 1,200 kutoka ndani na nje ya Tanzania, …