None
SW
Kapinga ashuhudia teknolojia bunifu SUA
['Rahimu Fadhili']
HabariLeo
MOROGORO: WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ametembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) katika Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki na kujionea teknolojia mbalimbali za kisasa zinazolenga kuimarisha uzalishaji wa mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi. Akiwa katika banda hilo, Kapinga amepata maelezo kuhusu teknolojia na ubunifu unaofanywa na watafiti …