DAR ES SALAAM: MWANZILISHI wa Taasisi ya Beyond Skin Initiative, Clementina Chalamila, amesema bado kuna changamoto kubwa ya uelewa katika jamii kuhusu watu wenye vitiligo, hali inayochangia unyanyapaa na kuwakatisha tamaa wengi katika kufikia ndoto zao. Akizungumza katika mahojiano maalumu na Daily News Digital, Clementina amesema baadhi ya watu wenye vitiligo huamua kujificha kutokana na …