None
SW
Serikali yaombwa kugharamia matibabu ya vitiligo
['Dotto Lameck']
HabariLeo
DAR ES SALAAM: MWANZILISHI wa Taasisi ya Beyond Skin Initiative, Clementina Chalamila, ameiomba Serikali kuweka utaratibu wa kutoa matibabu ya vitiligo bila malipo, ambapo amesema huduma hiyo inapaswa kupewa kipaumbele kama ilivyo kwa dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI (ARVs), ili kuwasaidia watu wengi wanaoshindwa kumudu gharama za matibabu. Akizungumza katika mahojiano maalumu na Daily …