None
SW
MaadhimishoTosamaganga kukusanya Sh bilioni 1
['Na Frank Leonard']
HabariLeo
IRINGA: Shule ya Sekondari Tosamaganga imezindua kampeni ya kukusanya Sh bilioni moja kwa ajili ya kuboresha miundombinu yake na kununua basi jipya la wanafunzi, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya miaka 100 tangu kuanzishwa kwa taasisi hiyo mwaka 1926. Uzinduzi huo umefanywa na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini, Benjamin Sitta, ukiashiria mwanzo …