None
SW
KKKT yazindua jukwaa la mafunzo, kitabu kidijitali
['Ester Takwa']
HabariLeo
DAR ES SALAAM: Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limezindua tovuti ya mafunzo ya kidijitali, KKKT Digital, itakayotoa mafundisho ya Kikristo na ujasiriamali, sambamba na uzinduzi wa kitabu kipya cha Mchungaji Dk Allen Mbiso, Yesu Kristo Mponyaji, kitakachopatikana kupitia jukwaa hilo la kidijitali. Tovuti hiyo imeundwa kuwezesha watumiaji kupata mafundisho mbalimbali ya Kikristo, mahubiri, …