None
EN
Wanahisa kunufaika mfumo mpya wa urithi
['Eva Sindika']
HabariLeo
KAMPUNI ya TIB Rasilimali imeingia makubaliano ya ushirikiano na Kampuni ya Sheria ya Breakthrough Attorneys kwa ajili ya kusimamia mifuko ya amana (Trust Funds) na kutoa huduma za ushauri wa usimamizi wa mali.