None
EN
Benki ya TADB yapewa tuzo
['Na Mwandishi Wetu']
HabariLeo
DAR ES SALAAM; Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetunukiwa Tuzo ya Benki Bora katika Kutoa Suluhisho za Ufadhili wa Kilimo nchini Tanzania, iliyotolewa na Global Brand Awards. Taarifa iliyotolewa na benki hiyo Julai 31, 2026 imeeleza tuzo hiyo ni uthibitisho wa dhamira yake ya kuendelea kutoa suluhisho bunifu za kifedha zinazochochea maendeleo ya …