None
SW
Serikali yawaendeleza wabunifu 70
['Na Lovin Kefa']
HabariLeo
DAR ES SALAAM: Serikali imesema imefanikiwa kuwaendeleza wabunifu 70 waliotokana na mashindano ya Sayansi na Teknolojia (MAKSATU), huku ikiwa katika hatua za mwisho za kufanya marekebisho ya Sera ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia ili iwe Sera ya Sayansi, Teknolojia, Ubunifu na Ujuzi, hatua inayolenga kuendana na mahitaji ya sasa ya soko la ajira na …