None
SW
Bodi ya usajili ya uchukuzi njiani kuanzishwa
['Rahimu Fadhili']
HabariLeo
DAR ES SALAAM: Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itachukua hatua za kuimarisha taaluma ya uchukuzi nchini, ikiwemo kuharakisha mchakato wa kuanzisha Bodi ya Usajili wa Wataalamu wa Uchukuzi, ili kuongeza ubora wa huduma na ufanisi wa sekta hiyo. Akizungumza wakati wa kufungua kongamano la wataalamu wa usafirishaji na lojistiki lililofanyika katika Chuo cha …