None
SW
IMF yaipa tano TRA
['Na Mwandishi Wetu']
HabariLeo
DAR ES SALAAM: Ujumbe wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) ukiongozwa na Thabo Letjama umekutana na kufanya mazungumzo na Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikiongozwa na Kamishna Mkuu, Yusuph Juma Mwenda jijini Dar es Salaam kuhusu masuala mbalimbali ya kikodi. Katika mazungumzo hayo kiongozi wa ujumbe wa IMF, Thabo Letjama, amesema IMF inaridhishwa …