Yanga wamemuweka sokoni mshambuliaji wao Depu kwenye dirisha hili kubwa la usajili. Yanga watamuuza Depu ili kupata nafasi ya kumuingiza kwenye mfumo mshambuliaji wao mpya The post Yanga Wamuweka Sokoni Mshambuliaji Depu appeared first on UDAKU SPECIAL.