None
EN
Kituo kipya cha mabasi kumaliza msongamano Arusha
['Na Veronica Mheta']
HabariLeo
ARUSHA: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla, amesema kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa Kituo cha Mabasi Mkoa wa Arusha, kutapunguza changamoto ya msongamano wa magari katikati ya jiji hilo na kuweka wazi kuwa wajibu wa serikali ni kusimamia mradi huo ukamilike kwa wakati. Makalla ameyasema hayo leo Julai 29, jijini Arusha wakati wa …