RUVUMA: MKURUGENZI Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, Joseph Kashushura, ametangaza mpango wa kurekebisha na kuimarisha miundombinu ya barabara, akilenga zaidi barabara zilizopata athari kubwa kutokana na mvua zilizonyesha msimu uliopita. Hatua hiyo inakuja baada ya greda la halmashauri kufanyiwa matengenezo na kukamilika, tayari kuanza kazi katika maeneo mbalimbali ya Halmashauri hiyo ili kurahisisha shughuli …