Klabu ya Rotary imekabidhi madawati 150 kwa Shule ya Msingi Mwananyamala B, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mchango wake wa kuboresha mazingira ya kujifunzia na kujifunza kwa wanafunzi pamoja na kuunga mkono jitihada za Serikali za kuinua kiwango cha elimu nchini. Akizungumza katika makabidhiano hayo leo Aprili 29, Ofisa Elimu wa Kata …