MTWARA: BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, limedhamiria kurudisha tena makato ya Sh 20 kwa kila kilo moja ya zao la korosho kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwenye halmashauri hiyo. Hayo yamejiri wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo ya Wilaya ya Tandahimba kuhusu …