None
EN
COPRA kuwaunganisha wadau kupitia Nanenane
['Mwandishi Wetu']
HabariLeo
Dodoma: Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imepanga kushiriki Maonesho ya Kilimo ya Nanenane Kitaifa 2026 yatakayofanyika kuanzia Agosti 1, 2026 kwenye viwanja vya Dk John Malecela, Dodoma, ikiwa na mpango maalumu wa kuwaunganisha wadau wa sekta ya nafaka na mazao mchanganyiko na fursa za masoko, biashara, teknolojia na uongezaji thamani. Ushiriki …