MBEYA: Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imewahimiza wawekezaji kutumia fursa zilizopo Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, ikisema eneo hilo lina uwezo mkubwa wa kuendeleza viwanda vya kuongeza thamani ya mazao ya kilimo yanayozalishwa kwa wingi. Akizungumza wilayani humo, Meneja wa TISEZA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Fidelis Obanga, amesema …