DAR ES SALAAM: SERIKALI imeiagiza Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kuhakikisha inapanga gharama za usafiri wa anga kwa kuzingatia hali halisi ya maisha ya wananchi, badala ya kupanga bei zisizoendana na uwezo wa Watanzania. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Devid Kihenzile, wakati akizungumza na viongozi wa TCAA jijini Dar es …