DAR ES SALAM; KLABU ya Simba ya Dar es Salaam imemtambulisha Dimitar Pentev raia wa Bulgaria kuwa Meneja Mkuu wa timu hiyo, akitokea Gaborone United ya Botswana alikokuwa Kocha Mkuu. Simba ilikutana na Gaborone United katika raundi ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu na Simba kusonga mbele kwa jumla ya mabao 2-1, ambapo … The post Simba wamtambulisha kocha aliyewahenyesha first appeared on HabariLeo.