MANYARA: Mgombea ubunge Jimbo la Hanang kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Asia Halamga, ameomba ujenzi wa kiwanda cha  nafaka ili kukuza uchumi kwa wananchi. ‎ ‎Asia amewasilisha maombi hayo kwa Mgombea Urais Dk Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni za kunadi sera za chama hicho. ‎ ‎”Tunayo raslimali ya kutosha,tunayo malighafi ya kuzalisha saruji  … The post Mgombea ubunge Hanang aomba kiwanda cha nafaka first appeared on HabariLeo.