None
SW
Watatu wafariki dunia kwa kujinyonga Kilimanjaro
['Fellen Manochi']
HabariLeo
KILIMANJARO; WATU watatu, akiwemo Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kotela Mashariki, wamefariki dunia kwa madai ya kujinyonga katika matukio tofauti yaliyotokea Julai 21 na 22, 2026 katika Kata za Mamba Kaskazini na Kilema Kati, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa, amethibitisha matukio hayo na kusema mmoja wa marehemu Lameck …