KAHAMA: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Rose Manumba, amesema halmashauri hiyo imekusanya zaidi ya Sh bilioni 9 katika mwaka wa fedha uliopita, sawa na asilimia 106 ya lengo la kukusanya Sh bilioni 8.5. Akizungumza katika kikao cha robo ya nne cha Baraza la Madiwani kilichofanyika Msalala, Manumba alisema mafanikio …