None
SW
Afrika yaweka mkakati wa viwanda
['Mwandishi Wetu']
HabariLeo
AFRIKA imeendelea kusisitiza umuhimu wa kuunganisha nguvu za kiuchumi miongoni mwa nchi zake ili kuchochea maendeleo ya viwanda, kuongeza thamani ya rasilimali za ndani na kujenga ushindani wa pamoja katika soko la dunia.