None
SW
Waziri Kairuki atoa maagizo utekelezaji mradi FTTH
['Na Anastazia Anyimike']
HabariLeo
DODOMA; WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, ameliagiza Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi wa Fiber to the Home (FTTH), ili wananchi wengi zaidi wanufaike na huduma ya intaneti kupitia mkongo wa taifa. Kairuki ametoa maelekezo hayo wakati wa ziara yake ya kikazi Wilaya ya Mpwapwa mkoani …