None
SW
Serikali yasifu soko jipya Dar
['Na Mwandishi Wetu']
HabariLeo
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Aristides Mbwasi, amesema ujio soko jipya la YIWU Market ndani ya Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Dar es Salaam, unalenga kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya Tanzania na China. Akizungumza leo jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa Soko hilo …