ARUSHA: Wagonjwa 258 waliobainika kuhitaji upasuaji mkubwa katika Kambi ya Matibabu ya Bure iliyoratibiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ambaye pia ni Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Makonda, wanatarajiwa kuanza kupatiwa matibabu ya kibingwa wiki ijayo katika hospitali mbalimbali za rufaa nchini. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha, Makonda alisema wagonjwa …