None
EN
Mwinyi atoa salamu za pole kwa Qatar
['Mwandishi Wetu']
HabariLeo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametuma salamu za pole kwa Amir wa Qatar, Serikali na wananchi wa taifa hilo kufuatia kifo cha Amir wa zamani wa Qatar, Hayati Sheikh Hamad bin Khalifa Al Thani.