None
EN
Kafulila ahudhuria ujenzi SGR
['Na Mwandishi Wetu']
HabariLeo
KIGOMA: Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC), David Kafulila, amehudhuria hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma iliyoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Jumatatu, Julai 20, 2026. Kafulila alikuwa miongoni mwa watendaji wa …