None
EN
Mradi wa kusafirisha umeme Masasi–Newala wazinduliwa
['Na Mwandishi Wetu']
HabariLeo
MTWARA: Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi akiwa pamoja na viongozi wengine, ameweka Jiwe la Msingi na kukata utepe kuzindua Mradi wa Ujenzi wa Njia Maalumu ya kusafirisha umeme wa Msongo wa Kilovolti 33 yenye urefu wa kilometa 76 kutoka Kituo cha Switching cha Masasi hadi Wilaya ya Newala, leo Julai 21, 2026, wilayani Newala, mkoani …