KIGOMA: Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dk Rashidi Chuachua amewataka maofisa uvuvi kutumia nafasi zao kuchochea ajira kwa vijana kwenye sekta hiyo. Dk. Chuachua amesema hayo akifunga mafunzo kwa wakaguzi na wasimamizi wa mazao ya uvuvi kutoka mikoa saba ya Tanzania Bara na Zanzibar yaliyoandaliwa ma Wizara ya Uvuvi kwa ufadhili wa Shirika la Chakula …