None
EN
Vituo vya ubunifu kuwa Injini za biashara na ajira
['Na John Nditi']
HabariLeo
MOROGORO: Serikali imeeleza kuwa itaendelea kuweka mazingira wezeshi katika vituo vya ubunifu na kongani za biashara ili kuhakikisha havibaki kuwa maeneo ya mafunzo pekee, bali vinakuwa chachu ya kuzalisha biashara zinazokua, kutengeneza ajira, kuongeza mauzo ya nje na kuchangia ukuaji wa uchumi na pato la taifa. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Dennis Londo amesema …